Tito 2:11-12
Tito 2:11-12 SWC02
Kwa maana neema ya Mungu inayoleta wokovu kwa watu wote imeonekana waziwazi. Neema hii inatufundisha kwamba tuache uovu na tamaa za dunia, na kuishi katika dunia hii ya sasa katika ukadirifu, katika haki na kushikamana na ibada.










