YouVersion Logo
Search Icon

Wimbo wa Solomono 8:6

Wimbo wa Solomono 8:6 SWC02

Unipige kama muhuri ndani ya moyo wako, kama muhuri katika mikono yako. Maana mapendo yana nguvu kama kifo, nao wivu ni mukali kama kaburi. Kuwaka kwake ni kama kuwaka kwa moto, unawaka kama ulimi wa moto.

Verse Image for Wimbo wa Solomono 8:6

Wimbo wa Solomono 8:6 - Unipige kama muhuri ndani ya moyo wako,
kama muhuri katika mikono yako.
Maana mapendo yana nguvu kama kifo,
nao wivu ni mukali kama kaburi.
Kuwaka kwake ni kama kuwaka kwa moto,
unawaka kama ulimi wa moto.