YouVersion Logo
Search Icon

Waroma 11:5-6

Waroma 11:5-6 SWC02

Ni hivi vilevile kwa wakati huu wa sasa kunabaki wamoja ambao Mungu alichagua kwa neema yake. Na ikiwa walichaguliwa kwa neema ya Mungu, si kufuatana na matendo. Ingekuwa vile, neema isingekuwa neema tena.

Free Reading Plans and Devotionals related to Waroma 11:5-6