YouVersion Logo
Search Icon

Ufunuo 9:3-4

Ufunuo 9:3-4 SWC02

Nzige wakatokea katika ule moshi, na kusambaa juu ya dunia. Nao wakapewa nguvu zinazokuwa kama za nge. Wakaambiwa wasiharibu majani yoyote wala mumea wowote, wala muti wowote, lakini wawatese watu wasiokuwa na chapa ya muhuri wa Mungu kwenye paji za nyuso zao.

Free Reading Plans and Devotionals related to Ufunuo 9:3-4