YouVersion Logo
Search Icon

Ufunuo 3:15-16

Ufunuo 3:15-16 SWC02

Ninajua matendo yako: wewe si baridi wala si moto. Afazali ungekuwa baridi tu au moto tu. Lakini sasa kwa sababu wewe ni mwenye uvuguvugu, ni kusema hauko baridi wala moto, nitakutapika kutoka katika kinywa changu.

Free Reading Plans and Devotionals related to Ufunuo 3:15-16