Ufunuo 20:7-8
Ufunuo 20:7-8 SWC02
Wakati ile miaka elfu moja itakapotimia, Shetani atafunguliwa toka katika kifungo chake, naye atakwenda kuwadanganya watu wa mataifa wanaokuwa katika pande zote za dunia, ndio wanaoitwa Gogi na Magogi. Shetani atawakusanya kwa kupigana vita, nao watakuwa wengi kama vile muchanga wa bahari.

![[Who's Your One? Series] Heaven or Hell Ufunuo 20:7-8 BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F19467%2F1440x810.jpg&w=3840&q=75)



