YouVersion Logo
Search Icon

Ufunuo 20:13-14

Ufunuo 20:13-14 SWC02

Bahari ikawarudisha wafu waliozama ndani yake. Kifo na kuzimu zikarudisha wafu waliokuwa ndani yao. Na kila mumoja akahukumiwa kufuatana na matendo yake. Kisha kifo na kuzimu vikatupwa katika ziwa la moto. Ziwa lile la moto ndicho kifo cha pili.

Free Reading Plans and Devotionals related to Ufunuo 20:13-14