YouVersion Logo
Search Icon

Ufunuo 19:12-13

Ufunuo 19:12-13 SWC02

Macho yake yalimetameta kama ndimi za moto, na juu ya kichwa chake kulikuwa taji nyingi. Alikuwa na jina lililoandikwa juu yake, wala hakuna mutu aliyejua, isipokuwa yeye mwenyewe tu. Alikuwa amevaa nguo iliyochovywa ndani ya damu. Jina lake ni: “Neno la Mungu.”

Free Reading Plans and Devotionals related to Ufunuo 19:12-13