Zaburi 59:9-10
Zaburi 59:9-10 SWC02
Lakini wewe, ee Yawe, unawachekelea; unawazarau hao watu wasiokujua. Nitakungojea, ewe unayekuwa nguvu yangu; maana wewe, ee Mungu, ni kimbilio langu.