Zaburi 50:10-11
Zaburi 50:10-11 SWC02
maana nyama wote wa pori ni mali yangu, na maelfu ya nyama wa milima ni wangu. Ndege wote wa mwitu ni mali yangu, na viumbe vyote vinavyoishi katika pori ni vyangu.