Zaburi 44:6-7
Zaburi 44:6-7 SWC02
Kwa nguvu yako tunawashinda waadui zetu, kwa jina lako tunawakanyaga wanaotushambulia. Mimi sitegemei upinde wangu, wala upanga wangu hauwezi kuniokoa.