YouVersion Logo
Search Icon

Zaburi 17:6-7

Zaburi 17:6-7 SWC02

Ee Mungu, ninakuita, maana wewe unanijibu; unitegee sikio, uyasikie maneno yangu. Onyesha wema wako wa ajabu; uwaokoe kutoka waadui zao wale wanaokimbilia kwako.

Related Videos