Zaburi 146:7-8
Zaburi 146:7-8 SWC02
Yeye anawapatia wanaoonewa haki yao, anawapa wenye njaa chakula. Yawe anawapa wafungwa uhuru, anawafungua vipofu macho. Yawe anawainua waliogandamizwa; anawapenda watu wa haki.