YouVersion Logo
Search Icon

Mezali 8:10-11

Mezali 8:10-11 SWC02

Chagua mafundisho yangu pahali pa feza; na maarifa pahali pa zahabu safi. “Hekima ina maana sana kuliko mawe ya bei kali; kitu chochote unachotamani hakiwezi kulingana nayo.