Mezali 7:2-3
Mezali 7:2-3 SWC02
Ufuate amri zangu nawe utaishi; ulinde mafundisho yangu kama mboni ya jicho lako. Uyafunge kwenye vidole vyako; uyaandike ndani ya moyo wako.