YouVersion Logo
Search Icon

Hesabu 16:30-32

Hesabu 16:30-32 SWC02

Lakini Yawe akifanya jambo ambalo halijapata kutendeka, udongo ukifunguka na kuwameza watu hawa pamoja na kila kitu chao, na kwenda kuzimu wakiwa uzima, basi mutajua kwamba watu hawa wamemuzarau Yawe. Mara tu alipomaliza kusema maneno hayo yote, udongo chini ya Datani na Abiramu ikafunuka na kuwameza watu hao, jamaa zao, pamoja na wafuasi wote wa Kora na mali zao zote.

Video for Hesabu 16:30-32

Free Reading Plans and Devotionals related to Hesabu 16:30-32