YouVersion Logo
Search Icon

Nehemia 9:19-21

Nehemia 9:19-21 SWC02

lakini wewe kwa rehema zako nyingi haukuwatupilia kule katika jangwa. Nguzo la wingu lililowaongoza muchana, wala nguzo la moto lililowaangazia katika njia usiku, havikuondoka. Ukawapa Roho wako mwema kuwashauria; ukawapa mana kuwa chakula chao, na maji ya kunywa kwa kutuliza kiu chao. Ukawatunza katika jangwa kwa miaka makumi ine na hawakukosa kitu chochote; nguo zao hazikuchakaa wala miguu yao haikuvimba.

Free Reading Plans and Devotionals related to Nehemia 9:19-21