Matayo 9:37-38
Matayo 9:37-38 SWC02
Halafu akawaambia wanafunzi wake: “Mavuno ni mengi, lakini wavunaji ni wachache. Basi muombe Bwana mwenyeji wa mavuno awatume wavunaji wengine kwa kuvuna mavuno yake.”