YouVersion Logo
Search Icon

Yobu 8:5-7

Yobu 8:5-7 SWC02

Kama utamutafuta Mungu na kumusihi yule Mungu Mwenye Uwezo, kama wewe uko safi ndani ya moyo na wa usawa, kweli Mungu atakuja kukusaidia, na kukujalia makao unayostahili. Na ingawa ulianza kuishi kwa uzaifu, maisha yako ya mwisho yatakuwa bora zaidi.

Related Videos

Free Reading Plans and Devotionals related to Yobu 8:5-7