YouVersion Logo
Search Icon

Yobu 33:15-18

Yobu 33:15-18 SWC02

Mungu anaongea na watu katika ndoto na maono, wakati usingizi muzito unapowapata, wanaposinzia katika vitanda vyao. Halafu anawafungua watu masikio yao; anawatia hofu kwa maonyo yake, wapate kuachana na matendo yao mabaya, na kuvunja kiburi chao. Hivyo anamukinga mutu asiangamie katika shimo, maisha yake yasiangamie kwa upanga.

Related Videos

Free Reading Plans and Devotionals related to Yobu 33:15-18