YouVersion Logo
Search Icon

Yobu 17:11-12

Yobu 17:11-12 SWC02

Siku zangu zimekwisha, mipango yangu imevunjwa, matazamio ya moyo wangu yametoweka. Kwa hao watu, usiku ni muchana: wanasema kwamba mwangaza unakaribia giza.

Related Videos