Yobu 11:16-17
Yobu 11:16-17 SWC02
Utazisahau taabu zako zote; utazikumbuka tu kama mafuriko yaliyopita. Maisha yako yataangaa kuliko jua la muchana kati, giza lake litabadilika kuwa mapambazuko.