YouVersion Logo
Search Icon

Yobu 11:13-15

Yobu 11:13-15 SWC02

Yobu, ukifanya moyo wako mukamilifu, utainua mikono yako kwa kumwomba Mungu! Kama uovu uko katika mukono wako, uutupilie mbali. Usikubali ubaya ukuwe katika nyumba yako. Halafu utainua uso wako bila kosa, utakuwa imara bila kuwa na hofu.

Related Videos

Free Reading Plans and Devotionals related to Yobu 11:13-15