Yobu 1:20-22
Yobu 1:20-22 SWC02
Kisha Yobu akasimama, akapasua nguo yake, akanyoa nywele zake, akajitupa chini na kumwabudu Mungu, akisema: Nilikuja uchi katika dunia, nitaondoka uchi katika dunia. Yawe amenipa, Yawe ametwaa. Jina la Yawe litukuzwe. Katika mambo haya yote Yobu hakutenda zambi wala hakumushitaki Mungu kuwa na kosa.





