YouVersion Logo
Search Icon

Yoane 19:26-27

Yoane 19:26-27 SWC02

Basi wakati Yesu alipoona mama yake pale na yule mwanafunzi aliyemupenda, akisimama karibu, akamwambia mama yake: “Mama, sasa huyu ndiye mwana wako.” Na kisha akamwambia yule mwanafunzi: “Sasa huyu ndiye mama yako.” Na tokea saa ile, mwanafunzi yule alimupeleka Maria kwake.