YouVersion Logo
Search Icon

Yeremia 39:17-18

Yeremia 39:17-18 SWC02

Lakini siku hiyo mimi nitakuokoa wewe, wala hautatiwa katika mikono ya watu unaowaogopa. Maana, kweli nitakuokoa na hautauawa kwa vita; utapata faida ya kuokoa maisha yako kwa sababu umeniamini mimi. –Ni ujumbe wa Yawe.

Video for Yeremia 39:17-18