Waamuzi 2:18
Waamuzi 2:18 SWC02
Kila mara Yawe alipowapelekea mwamuzi, yeye mwenyewe alikuwa pamoja na mwamuzi yule, akawaokoa toka katika mikono ya waadui zao muda wote wa maisha ya mwamuzi yule. Ingawa hivyo, Yawe aliwaonea huruma aliposikia kilio chao kutokana na mateso na masumbuko yao.

![The Old Testament Made Simple [Overview] Waamuzi 2:18 BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F66268%2F1440x810.jpg&w=3840&q=75)



