Isaya 43:20-21
Isaya 43:20-21 SWC02
Nyama wa pori wataniheshimu, mbweha na mbuni, maana nitaweka maji katika mbuga, na kububujisha mito katika jangwa, kwa kuwakunywesha watu wangu niliojichagulia, watu niliowaumba kwa ajili yangu mwenyewe, kusudi wazitangaze sifa zangu!





