Habakuki 3:17-18
Habakuki 3:17-18 SWC02
Hata kama miti ya tini isipochanua maua wala mizabibu kuzaa zabibu, hata kama mizeituni isipozaa zeituni na mashamba yasipotoa chakula, hata kama kondoo wakitoweka katika zizi na nyama wa kufugwa kukosekana katika mazizi, mimi nitaendelea kumufurahia Yawe. Nitamushangilia Mungu anayeniokoa.








