Mwanzo 49:3-4
Mwanzo 49:3-4 SWC02
“Wewe Rubeni ni muzaliwa wangu wa kwanza, nguvu yangu na tunda la ujana wangu. Wewe unawapita wandugu zako kwa ukubwa na nguvu. Wewe ni kama maji ya mafuriko. Lakini hautakuwa wa kwanza tena, maana ulipanda juu ya kitanda changu mimi baba yako, wewe ulikichafua; hakika wewe ulipanda juu yake!