YouVersion Logo
Search Icon

Wagalatia 1:3-4

Wagalatia 1:3-4 SWC02

Tunawatakia neema na amani kutoka kwa Mungu Baba na kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Kristo alijitoa mwenyewe kwa kutuokoa toka katika zambi zetu, kusudi atukomboe katika dunia hii mbaya ya sasa, kwa mapenzi ya Mungu Baba yetu.

Free Reading Plans and Devotionals related to Wagalatia 1:3-4