YouVersion Logo
Search Icon

Ezra 4:5

Ezra 4:5 SWC02

Tena wakawalipa wakubwa wa serikali ya Persia kituliro kusudi wapinge kazi ya Wayuda. Wakaendelea kufanya hivyo muda wote wa utawala wa Kiro, mpaka wakati wa utawala wa Dario.