YouVersion Logo
Search Icon

Ezekieli 37:1-2

Ezekieli 37:1-2 SWC02

Yawe alinijaza uwezo wake mimi Ezekieli. Roho wake akanitwaa na kunipeleka katika bonde lililokuwa limejaa mifupa. Basi, akanitembeza kila pahali katika bonde lile. Kulikuwa mifupa mingi sana katika bonde lile, nayo ilikuwa inakauka kabisa.

Free Reading Plans and Devotionals related to Ezekieli 37:1-2