YouVersion Logo
Search Icon

Ezekieli 2:7-8

Ezekieli 2:7-8 SWC02

Wewe utawaambia maneno yangu, wakisikia au wakikataa kusikia, maana hao ni watu waasi. Lakini, ewe mwanadamu, usikilize ninayokuambia, wala usikuwe mwasi kama watu hao waasi. Ufungue kinywa chako, ukule ninachokupa.

Free Reading Plans and Devotionals related to Ezekieli 2:7-8