YouVersion Logo
Search Icon

Kutoka 29:45-46

Kutoka 29:45-46 SWC02

Nitaishi kati ya Waisraeli, nami nitakuwa Mungu wao. Hapo ndipo watakapotambua kwamba mimi ni Yawe, Mungu wao, niliyewaleta kutoka katika inchi ya Misri, kusudi niishi kati yao. Mimi ni Yawe, Mungu wao.

Free Reading Plans and Devotionals related to Kutoka 29:45-46