YouVersion Logo
Search Icon

Kutoka 22:22-23

Kutoka 22:22-23 SWC02

Kama mukiwatesa wale, nao wakinililia, hakika nitakisikiliza kilio chao, na hasira yangu itawaka, nami nitawaua ninyi kwa upanga, na wake zenu watakuwa wajane na watoto wenu wayatima.

Free Reading Plans and Devotionals related to Kutoka 22:22-23