Kutoka 2:24-25
Kutoka 2:24-25 SWC02
Mungu akasikia kilio chao, naye akakumbuka agano alilofanya na Abrahamu, Isaka, na Yakobo. Mungu akawaangalia Waisraeli, naye akatambua hali yao.