YouVersion Logo
Search Icon

Kumbukumbu la Sheria 5:9-10

Kumbukumbu la Sheria 5:9-10 SWC02

Usiiname mbele yao wala kuvitumikia, kwa sababu mimi Yawe, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu. Ninawaazibu wana kwa ajili ya maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha ine cha wale wanaonichukia. Lakini ninawatendea mema maelfu ya wale wanaonipenda na kushika amri zangu.

Free Reading Plans and Devotionals related to Kumbukumbu la Sheria 5:9-10