YouVersion Logo
Search Icon

Kumbukumbu la Sheria 18:22

Kumbukumbu la Sheria 18:22 SWC02

Kama nabii akisema kitu aseme ni kwa jina la Yawe, na kitu hicho hakifanyiki au hakiko kweli, jambo hilo Yawe hakulisema; nabii amelisema kwa kiburi, nanyi musitishwe na jambo hilo.

Free Reading Plans and Devotionals related to Kumbukumbu la Sheria 18:22