Kumbukumbu la Sheria 18:12
Kumbukumbu la Sheria 18:12 SWC02
Maana yeyote anayetenda mambo haya ni chukizo kwa Yawe; na kwa ajili ya mambo haya ya kuchukiza Yawe, Mungu wenu, anafukuza watu wa namna hiyo mbele yenu.