Danieli 2:20-22
Danieli 2:20-22 SWC02
akasema: Jina la Mungu litukuzwe milele na milele. Hekima na nguvu ni vyake. Anabadilisha nyakati na wakati, anaondoa na kuwatawalisha wafalme. Anawapa hekima wenye hekima, anawaongezea wenye maarifa ufahamu. Anafunua siri na mafumbo, anajua kinachokuwa katika giza, mwangaza unakaa kwake.





