YouVersion Logo
Search Icon

Matendo ya Mitume 19:11-12

Matendo ya Mitume 19:11-12 SWC02

Mungu akaendelea kufanya miujiza ya ajabu kwa njia ya Paulo. Na hata watu walitwaa vitambaa na nguo zilizogusa mwili wa Paulo, wakazipeleka kwa wagonjwa, nao wakapona na pepo wakatoka ndani yao.

Free Reading Plans and Devotionals related to Matendo ya Mitume 19:11-12