YouVersion Logo
Search Icon

2 Wakorinto 11:14-15

2 Wakorinto 11:14-15 SWC02

Na jambo hilo si la kushangaza kwa maana Shetani mwenyewe anajisingizia kuwa malaika wa mwangaza. Basi si jambo la ajabu kama watumishi wake vilevile wanajigeuza kuwa watumishi wa haki. Kwa mwisho wao watalipwa kufuatana na matendo yao.