YouVersion Logo
Search Icon

2 Mambo ya Siku 33:12-13

2 Mambo ya Siku 33:12-13 SWC02

Wakati alipokuwa katika taabu, akamwomba Yawe, Mungu wake rehema. Akajinyenyekeza sana mbele ya Mungu wa babu zake. Alimusihi, naye Mungu akapokea maombi yake na kusihi kwake, akamurudisha Yerusalema katika ufalme wake. Halafu Manase akatambua kwamba Yawe ndiye Mungu.

Video for 2 Mambo ya Siku 33:12-13

Free Reading Plans and Devotionals related to 2 Mambo ya Siku 33:12-13