YouVersion Logo
Search Icon

1 Samweli 28:5-6

1 Samweli 28:5-6 SWC02

Saulo alipoona kundi la waaskari wa Wafilistini, alianza kuogopa, akaanza kutetemeka kwa hofu aliyokuwa nayo ndani ya moyo wake. Hata alipomwomba Yawe shauri, Yawe hakumujibu kwa ndoto, kwa mawe ya kupiga kura, wala kwa njia ya manabii.

Free Reading Plans and Devotionals related to 1 Samweli 28:5-6