1 Petro 1:24-25
1 Petro 1:24-25 SWC02
Kwa maana Maandiko Matakatifu yanasema: “Wanadamu wote ni kama majani. Na utukufu wao wote unatoweka kama maua. Majani yanakauka na maua yanaanguka. Lakini Neno la Bwana linadumu hata milele.” Na Neno hili ni Habari Njema iliyohubiriwa kwenu.










