YouVersion Logo
Search Icon

Warumi 5:5

Warumi 5:5 TKU

Na tukiwa na tumaini hili, hatutakata tamaa kamwe. Tunajua hili kwa sababu Mungu ameumimina upendo wake na kuijaza mioyo yetu kupitia Roho Mtakatifu aliyetupa.

Verse Image for Warumi 5:5

Warumi 5:5 - Na tukiwa na tumaini hili, hatutakata tamaa kamwe. Tunajua hili kwa sababu Mungu ameumimina upendo wake na kuijaza mioyo yetu kupitia Roho Mtakatifu aliyetupa.

Free Reading Plans and Devotionals related to Warumi 5:5