YouVersion Logo
Search Icon

Warumi 12:14-15

Warumi 12:14-15 TKU

Watakieni mema wale wanaowafanyia mabaya. Mwombeni Mungu awabariki, na sio kuwalaani. Furahini pamoja na wanaofurahi. Huzunikeni na wanaohuzunika.