YouVersion Logo
Search Icon

Mathayo 7:15-16

Mathayo 7:15-16 TKU

Mjihadhari na manabii wa uongo wanaokuja kwenu wakijifanya kondoo wasio na madhara ingawa ni watu hatari kama mbwa mwitu. Mtawatambua watu hawa kwa matendo yao. Mambo mazuri hayatoki kwa watu wabaya, kama ambavyo zabibu haitokani na miiba, na tini hazitokani na mbigiri.

Free Reading Plans and Devotionals related to Mathayo 7:15-16