YouVersion Logo
Search Icon

Luka 7:47-48

Luka 7:47-48 TKU

Ninakwambia kuwa dhambi zake zilizo nyingi zimesamehewa. Hii ni wazi, kwa sababu ameonesha upendo mkubwa. Watu wanaosamehewa kidogo hupenda kidogo.” Kisha akamwambia mwanamke, “Dhambi zako zimesamehewa.”

Free Reading Plans and Devotionals related to Luka 7:47-48